Hesabu 2:33 BHN

33 Lakini Walawi hawakuhesabiwa miongoni mwa watu wa Israeli kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose.

Kusoma sura kamili Hesabu 2

Mtazamo Hesabu 2:33 katika mazingira