Hesabu 2:34 BHN

34 Hivyo ndivyo, Waisraeli walivyofanya kila kitu kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose. Walipiga kambi zao, kufuata bendera zao na walisafiri kila mmoja akiandamana na jamaa yake kwa kufuata ukoo wake.

Kusoma sura kamili Hesabu 2

Mtazamo Hesabu 2:34 katika mazingira