Hesabu 20:10 BHN

10 Kisha Mose na Aroni wakaikusanya jumuiya yote ya watu mbele ya mwamba, naye Mose akawaambia, “Sikilizeni sasa, enyi waasi: Je, tuwatoleeni maji kutoka mwamba huu?”

Kusoma sura kamili Hesabu 20

Mtazamo Hesabu 20:10 katika mazingira