Hesabu 20:11 BHN

11 Kisha Mose akainua mkono wake, akaupiga ule mwamba mara mbili kwa fimbo yake. Maji yakabubujika kwa wingi, watu wakanywa pamoja na mifugo yao.

Kusoma sura kamili Hesabu 20

Mtazamo Hesabu 20:11 katika mazingira