Hesabu 21:33 BHN

33 Waisraeli waligeuka wakafuata njia iendayo Bashani. Mfalme Ogu wa Bashani akatoka na jeshi lake kuwashambulia huko Edrei.

Kusoma sura kamili Hesabu 21

Mtazamo Hesabu 21:33 katika mazingira