Hesabu 21:34 BHN

34 Lakini Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Usimwogope, maana nimemtia mikononi mwako pamoja na watu wake wote na nchi yake yote. Utamtendea kama ulivyomtendea Sihoni, mfalme wa Waamori, aliyekuwa anakaa Heshboni.”

Kusoma sura kamili Hesabu 21

Mtazamo Hesabu 21:34 katika mazingira