Hesabu 21:8 BHN

8 Ndipo Naye Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Tengeneza nyoka wa shaba, umtundike juu ya mlingoti. Mtu yeyote atakayeumwa na nyoka, akimtazama nyoka huyo wa shaba, atapona.”

Kusoma sura kamili Hesabu 21

Mtazamo Hesabu 21:8 katika mazingira