Hesabu 21:9 BHN

9 Basi, Mose akatengeneza nyoka wa shaba, akamtundika juu ya mlingoti. Kila mtu aliyeumwa na nyoka alipomtazama nyoka huyo wa shaba, alipona.

Kusoma sura kamili Hesabu 21

Mtazamo Hesabu 21:9 katika mazingira