Hesabu 22:23 BHN

23 Basi, punda alimwona malaika huyo wa Mwenyezi-Mungu amesimama njiani, ameshika upanga uliochomolewa alani mwake. Kwa hiyo aliiacha njia, akaenda pembeni. Balaamu akampiga huyo punda, akamrudisha njiani.

Kusoma sura kamili Hesabu 22

Mtazamo Hesabu 22:23 katika mazingira