Hesabu 22:32 BHN

32 Malaika wa Mwenyezi-Mungu akamwambia Balaamu, “Mbona umempiga punda wako mara hizi tatu? Nimekuja kukuzuia, kwa sababu njia yako ni mbaya.

Kusoma sura kamili Hesabu 22

Mtazamo Hesabu 22:32 katika mazingira