Hesabu 22:31 BHN

31 Hapo, Mwenyezi-Mungu akayafungua macho ya Balaamu, naye akamwona malaika wa Mwenyezi-Mungu amesimama njiani, ameshika upanga uliochomolewa alani mwake. Balaamu akajitupa chini kifudifudi.

Kusoma sura kamili Hesabu 22

Mtazamo Hesabu 22:31 katika mazingira