30 Punda akamwambia Balaamu, “Je, mimi si yuleyule punda wako aliyekubeba maisha yako yote hadi siku hii ya leo? Je, nimewahi kukutendea namna hii?” Balaamu akajibu, “La.”
Kusoma sura kamili Hesabu 22
Mtazamo Hesabu 22:30 katika mazingira