Hesabu 22:35 BHN

35 Lakini malaika wa Mwenyezi-Mungu akamwambia Balaamu, “Nenda na watu hawa, lakini utasema tu kile nitakachokuambia.” Basi, Balaamu akaendelea na safari pamoja na viongozi wa Balaki.

Kusoma sura kamili Hesabu 22

Mtazamo Hesabu 22:35 katika mazingira