Hesabu 22:36 BHN

36 Balaki alipopata habari kwamba Balaamu anakuja, alitoka kwenda kumlaki mjini Ari, mji uliokuwa ukingoni mwa mto Arnoni kwenye mpaka wa Moabu.

Kusoma sura kamili Hesabu 22

Mtazamo Hesabu 22:36 katika mazingira