Hesabu 22:37 BHN

37 Balaki akamwambia Balaamu, “Kwa nini hukuja kwangu mara moja nilipokuita? Je, ulifikiri sitaweza kukutunukia heshima ya kutosha?”

Kusoma sura kamili Hesabu 22

Mtazamo Hesabu 22:37 katika mazingira