Hesabu 22:7 BHN

7 Basi, maofisa wa Moabu na Midiani wakachukua ada ya mwaguzi, wakaondoka kwenda kwa Balaamu. Walipowasili, walimpa Balaamu ujumbe wa Balaki.

Kusoma sura kamili Hesabu 22

Mtazamo Hesabu 22:7 katika mazingira