Hesabu 22:8 BHN

8 Balaamu akawaambia, “Laleni huku usiku huu, nami nitawajulisheni atakayoniambia Mwenyezi-Mungu.” Basi, wazee hao wa Moabu wakakaa na Balaamu.

Kusoma sura kamili Hesabu 22

Mtazamo Hesabu 22:8 katika mazingira