Hesabu 23:4 BHN

4 Mungu akakutana naye. Balaamu akamwambia, “Nimetayarisha madhabahu saba na kutoa kafara fahali mmoja na kondoo dume mmoja juu ya kila madhabahu.”

Kusoma sura kamili Hesabu 23

Mtazamo Hesabu 23:4 katika mazingira