Hesabu 23:7 BHN

7 Balaamu akamtolea Balaki kauli yake, akasema,“Balaki amenileta hapa kutoka Aramu,naam, mfalme wa Moabu amenileta kutoka milima ya mashariki.‘Njoo uwalaani watu wa Yakobo kwa ajili yangu,naam, njoo uwalaumu Waisraeli!’

Kusoma sura kamili Hesabu 23

Mtazamo Hesabu 23:7 katika mazingira