Hesabu 24:11 BHN

11 Sasa! Nenda zako. Nilikuwa nimekuahidi kukupa zawadi nyingi, lakini Mwenyezi-Mungu hakukujalia kupata zawadi hizo, amekunyima!”

Kusoma sura kamili Hesabu 24

Mtazamo Hesabu 24:11 katika mazingira