10 Balaki akawaka hasira dhidi ya Balaamu, akakunja mikono kwa ghadhabu na kumwambia, “Nilikuita uwalaani adui zangu, lakini mara hizi zote tatu umewabariki!
Kusoma sura kamili Hesabu 24
Mtazamo Hesabu 24:10 katika mazingira