9 Ataotea na kulala chini kama simba,nani atathubutu kumwamsha?Abarikiwe yeyote atakayewabariki nyinyi Waisraeli,alaaniwe yeyote atakayewalaani.
Kusoma sura kamili Hesabu 24
Mtazamo Hesabu 24:9 katika mazingira