Hesabu 24:8 BHN

8 Mungu aliwachukua kutoka Misri,naye huwapigania kwa nguvu kama nyati.Atayateketeza mataifa yaliyo adui zao,atavunjavunja mifupa yao,atawachoma kwa mishale yake.

Kusoma sura kamili Hesabu 24

Mtazamo Hesabu 24:8 katika mazingira