Hesabu 24:16 BHN

16 kauli ya mtu aliyesikia maneno ya Mungu,na mtu ajuaye maarifa ya Mungu Mkuu,mtu aonaye maono ya Mungu Mwenye Nguvu,mtu anayesujudu, macho wazi.

Kusoma sura kamili Hesabu 24

Mtazamo Hesabu 24:16 katika mazingira