Hesabu 24:17 BHN

17 Ninamwona, atakayekuja, lakini baadaye,namwona, lakini hayuko karibu.Nyota itatokea kwa wazawa wa Yakobo,atatokea mfalme miongoni mwa Waisraeli.Kwa fimbo yake atawachapa viongozi wa Wamoabuatawaangamiza wazawa wote wa Sethi.

Kusoma sura kamili Hesabu 24

Mtazamo Hesabu 24:17 katika mazingira