Hesabu 26:62 BHN

62 Idadi ya Walawi wanaume wenye umri wa mwezi mmoja na zaidi ilikuwa 23,000. Hawa hawakuhesabiwa pamoja na Waisraeli wengine kwa sababu wao hawakupewa urithi wowote miongoni mwao.

Kusoma sura kamili Hesabu 26

Mtazamo Hesabu 26:62 katika mazingira