63 Hao ndio wanaume Waisraeli walioorodheshwa na Mose na kuhani Eleazari katika nchi tambarare za Moabu, ngambo ya mto Yordani, karibu na Yeriko.
Kusoma sura kamili Hesabu 26
Mtazamo Hesabu 26:63 katika mazingira