Hesabu 26:64 BHN

64 Miongoni mwao hakuwamo hata mtu mmoja aliyesalia kati ya wale waliohesabiwa na Mose na kuhani Aroni ambao walifanya sensa ya kwanza jangwani Sinai.

Kusoma sura kamili Hesabu 26

Mtazamo Hesabu 26:64 katika mazingira