Hesabu 26:65 BHN

65 Mwenyezi-Mungu alikuwa amesema kwamba wote watafia jangwani, na kweli hakuna hata mmoja wao aliyebaki hai, isipokuwa Kalebu mwana wa Yefune, na Yoshua mwana wa Nuni.

Kusoma sura kamili Hesabu 26

Mtazamo Hesabu 26:65 katika mazingira