Hesabu 28:7 BHN

7 Sadaka ya kinywaji itakayotolewa na kila mwanakondoo ni lita moja ya divai. Utaimimina sadaka hii ya kinywaji kikali mahali patakatifu.

Kusoma sura kamili Hesabu 28

Mtazamo Hesabu 28:7 katika mazingira