Hesabu 28:8 BHN

8 Wakati wa jioni utamtoa yule mwanakondoo mwingine kama sadaka ya nafaka na kama sadaka ya kinywaji utaitoa kama sadaka ya kuteketezwa kwa moto, sadaka yenye harufu nzuri ya kumpendeza Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili Hesabu 28

Mtazamo Hesabu 28:8 katika mazingira