Hesabu 29:33 BHN

33 Mtatoa pia sadaka ya nafaka na sadaka za kinywaji pamoja na hao fahali, kondoo dume, na wanakondoo, kulingana na idadi yao, kama wanavyotakiwa.

Kusoma sura kamili Hesabu 29

Mtazamo Hesabu 29:33 katika mazingira