Hesabu 3:41 BHN

41 Nawe utatenga Walawi kwa ajili yangu mimi Mwenyezi-Mungu; pia utatenga kwa ajili yangu mifugo yote ya Walawi badala ya wazaliwa wa kwanza wa mifugo ya watu wa Israeli.”

Kusoma sura kamili Hesabu 3

Mtazamo Hesabu 3:41 katika mazingira