40 Kisha Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose, “Wahesabu kwa majina wazaliwa wa kwanza wa kiume wote wa Waisraeli kuanzia wenye umri wa mwezi mmoja na zaidi.
Kusoma sura kamili Hesabu 3
Mtazamo Hesabu 3:40 katika mazingira