51 Mose na kuhani Eleazari wakapokea vitu vyote vilivyonakshiwa kwa dhahabu.
52 Jumla ya dhahabu yote waliyomtolea Mwenyezi-Mungu ilikuwa karibu kilo 200.
53 (Kila askari alijichukulia nyara zake binafsi).
54 Basi, Mose na kuhani Eleazari wakaipokea dhahabu hiyo kutoka kwa makamanda wakaipeleka katika hema la mkutano, iwe ukumbusho wa Waisraeli mbele ya Mwenyezi-Mungu.