Hesabu 31:54 BHN

54 Basi, Mose na kuhani Eleazari wakaipokea dhahabu hiyo kutoka kwa makamanda wakaipeleka katika hema la mkutano, iwe ukumbusho wa Waisraeli mbele ya Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili Hesabu 31

Mtazamo Hesabu 31:54 katika mazingira