1 Vifuatavyo ni vituo ambavyo Waisraeli walipiga kambi walipotoka Misri wakiwa katika makundi ya makabila yao chini ya uongozi wa Mose na Aroni.
Kusoma sura kamili Hesabu 33
Mtazamo Hesabu 33:1 katika mazingira