Hesabu 33:2 BHN

2 Mose aliandika jina la kila mahali walipopiga kambi, kituo baada ya kituo, kwa agizo la Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili Hesabu 33

Mtazamo Hesabu 33:2 katika mazingira