Hesabu 33:3 BHN

3 Waisraeli waliondoka mjini Ramesesi mnamo siku ya kumi na tano ya mwezi wa kwanza, siku moja baada ya Pasaka ya kwanza. Waliondoka kwa uhodari mkubwa mbele ya Wamisri wote,

Kusoma sura kamili Hesabu 33

Mtazamo Hesabu 33:3 katika mazingira