Hesabu 33:7 BHN

7 Kutoka Ethamu, waligeuka na kurudi hadi Pi-hahirothi, mashariki ya Baal-sefoni, wakapiga kambi yao karibu na Migdoli.

Kusoma sura kamili Hesabu 33

Mtazamo Hesabu 33:7 katika mazingira