8 Waliondoka Pi-hahirothi, wakapita bahari ya Shamu mpaka jangwa la Ethamu; walisafiri jangwani mwendo wa siku tatu, wakapiga kambi yao Mara.
Kusoma sura kamili Hesabu 33
Mtazamo Hesabu 33:8 katika mazingira