Hesabu 33:9 BHN

9 Kutoka Mara, walisafiri hadi Elimu; huko Elimu kulikuwa na chemchemi kumi na mbili za maji na mitende sabini, wakapiga kambi yao mahali hapo.

Kusoma sura kamili Hesabu 33

Mtazamo Hesabu 33:9 katika mazingira