19 Basi, ili kuwaepusha wasije wakauawa kwa kuvikaribia vyombo hivyo vitakatifu sana utafanya hivi: Aroni na wanawe wataingia na kumpangia kila mmoja wao wajibu wake na kazi yake.
Kusoma sura kamili Hesabu 4
Mtazamo Hesabu 4:19 katika mazingira