Hesabu 6:17 BHN

17 Atamtolea Mwenyezi-Mungu huyo kondoo kama tambiko ya amani, atamtoa pamoja na kikapu cha mikate isiyotiwa chachu, sadaka ya nafaka na ya kinywaji.

Kusoma sura kamili Hesabu 6

Mtazamo Hesabu 6:17 katika mazingira