Hesabu 6:18 BHN

18 Hapo penye mlango wa hema la mkutano, mnadhiri huyo atanyoa nywele zake na kuzitia katika moto ulio chini ya tambiko ya sadaka ya amani.

Kusoma sura kamili Hesabu 6

Mtazamo Hesabu 6:18 katika mazingira