Hesabu 6:19 BHN

19 “Kisha kuhani atachukua bega la yule kondoo dume likiwa limechemshwa pamoja na andazi moja lililotiwa chachu kutoka kikapuni na mikate myembamba pia isiyotiwa chachu na kumpa mnadhiri mikononi akisha maliza kunyoa nywele zake alizokuwa nazo wakati wa kuwekwa wakfu.

Kusoma sura kamili Hesabu 6

Mtazamo Hesabu 6:19 katika mazingira