Hesabu 7:83 BHN

83 fahali wawili, kondoo madume watano, beberu watano na wanakondoo madume wa mwaka mmoja watano kwa ajili ya tambiko ya sadaka ya amani. Hiyo ndiyo iliyokuwa sadaka ya Ahira mwana wa Enani.

Kusoma sura kamili Hesabu 7

Mtazamo Hesabu 7:83 katika mazingira