Hesabu 7:84 BHN

84 Jumla ya matoleo ya sadaka za viongozi wa Israeli kwa ajili ya madhabahu siku ilipowekwa wakfu ilikuwa: Sahani za fedha kumi na mbili, birika za fedha kumi na mbili, na visahani vya dhahabu kumi na viwili.

Kusoma sura kamili Hesabu 7

Mtazamo Hesabu 7:84 katika mazingira