Hesabu 9:14 BHN

14 “Ikiwa kuna mgeni anayeishi pamoja nanyi na anapenda kuiadhimisha sikukuu ya Pasaka, mtu huyo sharti afanye hivyo kulingana na masharti na maagizo yote ya Pasaka. Kila mtu atafuata masharti yaleyale, akiwa mgeni au mwenyeji.”

Kusoma sura kamili Hesabu 9

Mtazamo Hesabu 9:14 katika mazingira