Mwanzo 25:21 BHN

21 Rebeka alikuwa tasa, kwa hiyo Isaka akamwomba Mwenyezi-Mungu. Naye Mwenyezi-Mungu akakubali ombi lake, Rebeka akapata mimba.

Kusoma sura kamili Mwanzo 25

Mtazamo Mwanzo 25:21 katika mazingira